Shamba linauzwa Arusha, Kilomita moja chini ya Shopprite
$35,000.00 Webmaster 132 Views Add To Favorites
Shamba linauzwa karibu na Shoprite kama kilomita moja kusini. Shamba linafikiwa na barabara, kuna maji, umeme nk. Kiwanja inayouzwa ina ukubwa wa mita 20×25. Bei inaanzia milioni 50. Kwa maelezo zaidi piga 0774650100/064650100...More Info